0
Marekani wameshambulia wanamgambo wa kundi la Islamic State katika mji wa Kabane, Syria kwa
makombora kwa kutumia ndege za kijeshi.

Mashambulizi hayo yamesababisha kuwarudisha nyuma wanamgambo hao.
Marekani walituma ndege 135 kushambulia wanamgambo hao na kufanikiwa kuua mamia ya wapiganaji na kuharibu majengo. Ndege zote
zilizoshambulia wanamgambo hao zimerudi salama Marekani.

Chapisha Maoni

 
Top