QPR YAICHAPA 2-0 ASTON VILLA 02:42 Unknown 0 MICHEZO A+ A- Print Email Mshambuliaji wa Aston Villa, ChristianBenteke akipambana na beki wa QPR, Richard Dunne katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Loftus Road. QPR ilishinda 2-0, mabao yote akifunga CharlieAustin dakika ya 17 na 69.
Chapisha Maoni