
Kocha wa Manchester City, Manuel Pellegrini amesema kiungo huyo wa Hispania atakuwa nje kwa wiki tatu au nne baada ya kuumia goti lake Jumatano usiku katika mchezo wa
Kombe la Ligi, England maarufu kama Capital One Cup.
Man City ilifungwa 2-0 na kutolewa na
Newcastle United, iliyotinga Robo Fainali. Silva hataukosa mchezo huo wa Jumapili wa Ligi Kuu ya England dhidi ya mahasimu Man United pekee, bali atakosa mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya wiki ijayo na CSKA Moscow
Uwanja wa Etihad.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.