Jumapili na Swansea.
Wilshere, ambaye anasumbuliwa na maumivu ya goti, hakufanya mazoezi leo, lakini aliripoti makao makuu ya klabu, viwanja vya Colney,
London.
Wenger pia amesema kwamba Aaron Ramsey, ambaye amekuwa fiti tena, amekuwa pia akisumbuliwa na maradhi siku chache zilizopita- lakini kocha wa The Gunners amesema naye hatakuwa nje kwa muda mrefu.
Chapisha Maoni