
Chelsea iliifunga Maribor 6-0 wiki mbili
zilizopita wakati Costa, akikosa mechi nne na sasa ams on a maumivu ya nyama kiasi cha kucheza mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya QPR Jumamosi.
Mshambuliaji Loic Remy anayesumbuliwa na nyonga na kiungo John Obi Mikel anayeumwa goti ndio majeruhi pekee watakaokosekana
katika mchezo huo, wakati kipa wa tatu Mark Schwarzer anaweza kuanza.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.