amefanya miujiza ya aina yake kwa kuwatibu watu kwa kutumia pafyumu ambapo watu wenye magonjwa mbalimbali walidai kupona kwa
kupuliziwa pafyumu hizo.
Tukio hilo lilijiri Jumapili ya Novemba 2 mwaka huu ambapo kwa mujibu wa Nabii Yaspi aliwaagiza wagonjwa wafike kanisani hapo na pafyumu kanisani hapo ili azibariki na kuwa dawa
na kinga yao kwa magonjwa mbalimbali
yanayowakabili.
Waandishi wetu waliokuwa kanisani hapo walishuhudia umati wa wagonjwa wakiwa wamejipanga na pafyumu za kila aina na kuombewa kisha kunyunyiziwa marashi hayo na
kudai kupona kabisa.
Chapisha Maoni