
Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Etihad na Manchester United kuchapwa 1-0, beki huyo alitolewa nje kwa machela dakika ya 56 baada ya kuumia wakati aliokoa kwa kuutelezea mpira.
Hali ya Rojo si nzuri na mlinzi huyo wa
kimataifa wa Argentine atakosekana kwa angalau wiki sita.
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.