0
Godfrey Joseph Kajuna (45) mkazi Muleba Mkoa wa Kagera ampiga kwa fimbo nzito na kumtoboa macho bintiye wa miaka 12 Agripina Godfrey kisha
naye kujinyonga hadi kufa.

Chanzo ni kwamba Baba alitoka na kuwambia wanae kuwa Mama yao akirudi wasimfungulie mlango, hivyo mama aliporudi watoto kwa kumuogopa Baba yao wakakataa kumfungulia
Mlango.

 Basi Mama akaondoka kujihifadhi
kwingine.

Chapisha Maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top