wapiganaji 100 wamevamia kituo kimoja cha polisi
kaskazini mashariki mwa Kenya.
Wanasema wapiganaji wa al-Shabab waliingia mji
wa Wajir wakiwa katika malori matatu saa za alfajiri
siku ya Jumamosi.
Walirusha makombora ya roketi kabla ya kuondoka
na silaha na magwanda ya polisi.
Polisi mmoja alijeruhiwa.Wapiganaji wa al-Shabab
hutekeleza uvamizi wa mara kwa mara nchini
Kenya ,mara nyengine wakivuka mpaka kutoka
Somalia.
Kundi hilo pi lina wanachama wake wanaoishi
nchini Kenya.
BBC
Chapisha Maoni