0

Di Mateo mmoja ya makocha wachache wenye
heshima ya kuchukua ubingwa wa Ulaya akiwa na
Chelsea ametimuliwa na timu hiyo baada ya
matokeo mabovu yaliyoiweka katika nafasi ya 19
hivi sasa katika msimamo wa ligi daraja la
Championship.
Ni siku 124 tu zimepita tangu Aston Villa ilipompa
kazi Di Mateo kukinoa kikosi hicho akishinda
mchezo mmoja tu katika michezo 11 ya
Championship.
Tayari majina kadhaa yametajwa kwenda kuchukua
nafasi hiyo akiwemo Steve Bruce kocha wa zamani
wa Hull City na Sam Alladyse kocha wa zamani wa
England na Sunderland.



Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2

Chapisha Maoni

 
Top