0

Mshambuliaji wa Chelsea,
Diego Costa (kushoto)
akimtoka kwa mbinde kiungo
wa Burnley, Joey Barton
katika mchezo wa Ligi Kuu
ya England leo Uwanja
wa Turf Moor mjini Burnley.
Timu hizo zimetoka sare ya
1-1, Chelsea wakitangulia
kwa bao la Pedro Eliezer
Rodriguez Ledesma dakika ya
saba, kabla ya Robbie Brady
kuisawazishia Burnley dakika
ya 24. Pamoja na sare hiyo,
The Blues inaendelea
kuongoza Ligi Kuu kwa
pointi zake 60, ikifuatiwa na
Tottenham na Arsenal zenye
pointi 50 kila moja



Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2

Chapisha Maoni

 
Top