Mchezaji nyanda namba wani wa klabu
ya soka ya Leicester City, Kasper
Schmeichel amedai hata kama klabu
hiyo itashuka daraja hataitosa lakini
akawataka wenzake kubadilika na
kupambana haswa!
Schmeichel amewaonya walinzi wa timu
hiyo kutorudia kucheza hovyo kwenye
mechi zijazo baada ya mabingwa hao
watetezi kutandikwa na Manchester
United bao 3 bila akisema kuwa
wakifanya utani watashuka daraja hakika.
Like Page ya Facebook Africa Newss Sports Posted: ⚽ Africa News Sports2
Chapisha Maoni