0
Nyota wa Barcelona, Mbrazil
Neymar akitolewa kwa kadi
nyekundu baada ya
kuonyeshwa kadi ya pili ya
njano dakika ya 65 timu yake
ikifungwa 2-0 na wenyeji,
Malaga katika mchezo wa La
Liga usiku wa Jumamosi
Uwanja wa La Rosaleda mjini
Malaga. Mabao ya wenyeji
yamefungwa na Sandro
Ramirez dakika ya 32
na Jony dakika ya 90

Chapisha Maoni

 
Top