0
Diego Costa (kushoto)
akimpongeza mchezaji
mwenzake, Eden Hazard
baada ya kuifungia Chelsea
bao la pili dakika 20 katika
ushindi wa 3-1 dhidi ya
wenyeji,
AFC Bournemouth leo
Uwanja wa Vitality katika
mchezo wa Ligi Kuu ya
England. Mabao mengine ya
Chelsea yalifungwa na Adam
Smith aliyejifunga dakika ya
17 na Marcos Alonso dakika
ya 68 wakati la wenyeji
lilifungwa na Josh King
dakika ya 42 

Chapisha Maoni

 
Top