Ibrahimovic dakika ya (30') zimeiwezesha kwenda
mapumziko kwa 1-0 dhidi ya timu ya mkiani
kwenye Ligi hiyo pendwa EPL Sunderland punde.
Sunderland wako pungufu uwanjani baada ya
mchezaji mwenzao Sebastian Larsson kufanya
rafu dakika ya 43.
Kipindi cha pili dakika 46 Henrikh Mkhitaryan
aliwaongezea bao la pili Man United na kufanya
bao kuwa 2-0 dhidi ya wenyeji Sunderland.
VIKOSI:
Sunderland XI : Pickford, Jones, Kone, Denayer,
Oviedo, Cattermole Ndong, Rodwell, Larsson,
Defoe, Anichebe
Subs: Mannone Djilobodji, Borini, Khazri, Pienaar,
Manquillo, Gibson
Man United XI : Romero, Darmian, Bailly, Rojo,
Shaw, Fellaini, Pogba Mkhitaryan, Ander Herrera,
Lingard, Ibrahimovic
Subs: Martial, Carrick, Blind, Rashford, Fosu-
Mensah, Tuanzebe, Joel Pereira
Referee: Craig Pawson
Chapisha Maoni