na Mbrazil mwenzake,
Philippe Coutinho baada ya
kuifungia Liverpool bao la pili
dakika ya 72 katika ushindi
wa 2-1 dhidi ya wenyeji
Stoke City leo Uwanja
wa Bet365, Stoke-on-Trent,
Staffordshire kwenye mchezo
wa Ligi Kuu ya England. Bao
la kwanza la Liverpool
lilifungwa Coutinho dakika ya
70, baada ya Jonathan
Walters kuwafungia wenyeji
dakika ya 40
Chapisha Maoni