United, Marcus Rashford
akienda chini baada ya
kuangushwa na kipa wa
Swansea City, Lukasz
Fabianski na refa Neil
Swarbrick kuamuru penalti
ambayo ilifungwa na Wayne
Rooney kuipatia timu yake
bao la kuongoza dakika ya
45 na ushei katika mchezo
wa Ligi Kuu ya England
Uwanja wa Old Trafford, kabla
ya wageni kusawazisha
kupitia kwa Gylfi Sigurdsson
dakika ya 79
Chapisha Maoni