0
Mshambuliaji wa Borussia
Dortmund, Pierre-
Emerick Aubameyang
akifurahia na tuzo yake ya
ufungaji bora wa Ligi Kuu
Ujerumani, maarufu kama
Bundesliga baada ya
kumaliza na mabao 31
kufuatia jana kufunga mabao
mawili katika ushindi wa 4-3
dhidi ya Werder Bremen na
Mgabon huyo mwenye umri
wa miaka 27 kumzidi
mshambuliaji wa Bayern
Munich, Robert Lewandowski
katika kinyang'anyiro cha
tuzo hiyo 

Chapisha Maoni

 
Top