Michy Batshuayi ndiye aliyefunga bao lililoipa Chelsea ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Wes Brom lakini kuihakikishia kubeba ubingwa wa England, msimu huu.
Chelsea wamefunga Wes Brom kwa bao 1-0 na kujihakikishia kubeba ubingwa wa Ligi Kuu England licha ya kubaki na mechi mbili mkononi.
WEST BROM: Foster; Dawson, McAuley (Wilson, 64), Evans, Nyom, Fletcher, Brunt, Livermore, Field (Yacob, 51), McClean (Chadli, 59), Rondon
Subs not used: Robson-Kanu, Morrison, Wilson, Myhill, Leko
Booked: McClean, Wilson, Field
Manager: Tony Pull
CHELSEA: Courtois; Azpilicueta, David Luiz, Cahill, Moses (Zouma, 86), Fabregas, Matic, Alonso, Pedro (Batshuayi, 76), Hazard
(Willian, 75) Diego Costa
Subs not used: Begovic, Ake, Kante, Terry
Goal: Batshuayi 81
Manager: Antonio Conte
Referee: Michael Oliver
Attendance: 25,367
Chapisha Maoni