Ubingwa wa Ligi Kuu Soka Tanzania
Bara kwenda kwa Yanga, baada ya
kuibuka na ushindi wa Mabao 2-1
dhidi ya Stand United.
Mchezo huo ambao umefanyika katika
uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
na kuamuliwa na Mwamuzi Emanuel
Mwendembwa kutoka Arusha
umeshuhudia bao la Mapema zaidi la
Sekunde ya 16.
Bao hilo limefungwa na Mshambuliaji
Seleman Kasimu Selembe baada ya
kupokea Pasi kutoka kwa Miraji Makka
ambayo iliwashinda mabeki wa Kati
wa Simba na kumkuta mfungaji
ambaye alituliza kifuani na kulipasia
Lango la Simba.
Mabao yote ya Simba katika mchezo
huo yamefungwa na Juma Luizio
katika dakika ya 23 na 35 Ya kipindi
cha Kwanza.
Mchezo huo ulionekana wa upande
mmoja kwa dakika 45 za kwanza
Kabla ya Stand United kuamka katika
kipindi cha Pili na kupunguza
Mashambulizi yaliyokuwa yakitawala
Upande wao.
Warejea Kileleni.
Ushindi huo unawafanya Simba kukaa
Kileleni kwa Tofauti ya Alama Tatu
dhidi ya Yanga wenye Alama 62 Huku
wakibakiwa na mchezo mmoja dhidi
ya Mwadui kukamilisha ligi.
Chapisha Maoni