0
Ligi kuu ya soka ya England Watford wakiwa ni wenyeji wa Liverpool katika mchezo pekee wa ligi hiyo Liverpool hapo jana walifanikiwa kuchomoza
na ushindi wa bao 1-0 kwa goli la Emre Cam ambalo lililofungwa dakika ya 45 ndani ya dakika mbili za nyongeza.
Kwa matokeo hayo sasa Liverpool wamepanda hadi nafasi ya tatu baada ya kufikisha alama 69 nyuma ya chelsea na Tottenham huku nafasi ya nne ikiwa ni Manchester city na nafasi ya tano
ikikaliwa na Manchester United.

Chapisha Maoni

 
Top