0
Wakati Manchester United inatarajiwa kucheza mchezo wake wa kwanza wa nusu fainali ya Europa League hapo Alhamisi, inaweza kuwakosa
nyota wake saba wa kikosi cha kwanza.

Wachezaji hao ambao wnaweza kukosekana katika mchezo huo ni pamoja na Bailly au Chris Smalling
paomoja na Phil Jones ,wengine ni Zlatan Ibrahimovic, marcos Rojo na Tomothy Fosu- Mensah
Paul Pogba anatarajiwa kurejea katika mchezo huo utakaofanyika nchini Hispania baada ya kukosa mechi mbili kutokana na kuwa majeruhi.

Chapisha Maoni

 
Top