0
Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amewapongeza Tottenham Hotspurs baada ya kushinda mchezo wao wa derby ya kaskazini mwa London katika
Uwanja wa White Hart Lane kwa mabao ushindi wa bao 2-0 na kuwahakikishia nafasi ya kumaliza juu ya mahasimu wao kwa mara ya kwanza toka
mwaka 1995.
Mabao ya Delle Alli na Harry Kane aliyefunga kwa penati yalitosha kuwahakikishia ushindi Spurs
huku nafasi ya Arsenal wakimaliza kumaliza kwenye nafasi nne za juu .

Chapisha Maoni

 
Top