Kipa wa Leicester City, Kasper Schmeichel amebaki njiapanda ili kwenda Manchester United baada ya klabu yake kusuasua kumsajili mbadala wake, raia wa Crotia, Lovre Kalinic kutoka Gent.
Leicester City iwapo wakimpata mbadala wa kipa huyo, wanaonyesha wapo tayari kumuuza mchezaji Schmeichel kwa klabu ya Manchester United katika kipindi hiki cha usajili wa kianga
Iwapo Leicester City watafikia dau la Pauni 20 milioni kwa Kalinic, itakuwa njia nyeupe kwa mchezaji huyo kwenda Manchester.
Hata hivyo, bajeti ya Leicester imemtengwa Pauni 18 milioni huku Gent ikionekana kutaka Pauni 20 milioni.London, England. Kipa wa Leicester City, Kasper Schmeichel amebaki njiapanda ili kwenda Manchester United baada ya klabu yake kusuasua kumsajili mbadala wake, raia wa Crotia, Lovre Kalinic kutoka Gent.
Leicester City iwapo wakimpata mbadala wa kipa huyo, wanaonyesha wapo tayari kumuuza mchezaji Schmeichel kwa klabu ya Manchester United katika kipindi hiki cha usajili wa kiangazi.
Iwapo Leicester City watafikia dau la Pauni 20 milioni kwa Kalinic, itakuwa njia nyeupe kwa mchezaji huyo kwenda Manchester.
Hata hivyo, bajeti ya Leicester imemtengwa Pauni 18 milioni huku Gent ikionekana kutaka Pauni 20 milioni.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni