Alexandre Lacazette akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia timu yake mpya, Arsenal bao la pili dakika ya 83 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Sydney FC kwenye mchezo wa kirafiki mchana wa leo Uwanja wa ANZ mjini Sydney, Australia. Bao la kwanza lilifungwa na Per Mertesacker dakika ya nne tu
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni