Mshambuliaji Donald Ngoma anatarajia kurejea uwanjani wiki ijayo baada ya kupona maumivu ya goti yaliyokuwa yakimsumbua.
Mkwasa alisema Ngoma aliewa mapumziko ya wilki tano ndio maana amechelewa kujiunga na wenzake katika mazoezi yaliyoanza wiki iliyopita lakini mchezaji huyo ataanza mazoezi rasmi wiki ijayo.
Mchezaji huyo aliongezewa mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu hiyo ya Jangwani bada ya kuwapo presha kubwa ya usajili kutoka kwa Simba.
Chapisha Maoni