Neymar sasa rasmi ni mchezaji wa Paris Saint-Germain kwa uhamisho wake wa pauni million 198 ambayo ni rekodi mpya ya usajili duniani.
Thamani ya Neymar wakati akitokea Santos kwenda Barcelona, sasa imepanda kwa pauni million 100.
Atakuwa akilamba mshahara wa pauni 500,000 katika mkataba wake huo wa miaka mitano na PSG.
Chapisha Maoni