0
Siku hizi limezuka wimbi la akina dada na hata akina mama kujiremba kwa namna mbalimbali kuanzia rangi ya mwili, nywele, kucha, midomo na wengine wamefikia hatua ya kunywa au kupaka dawa za kichina za
kuongeza makalio na maziwa. 

Wengine wanasuka nywele ndefu na wanaongea kwa mbwembwe huku wanatikisa vichwa vyao na kushikashika
nywele kama wafanyavyo wanawake wa
kizungu. Wengine wamefikia hatua ya kubadili hata sauti na namna ya kuongea!!
Najua dada zetu wanafanya hivyo kwa lengo la kupendeza na wengine lengo lao ni kuwavutiabwanaume. Lakini mimi binafsi sijui ni nini kimenitokea! Inawezekana ndiyo abnomality
hiyo. Kadri mwanamke anavyojiremba zaidi ndivyo hamu ya kufanya nae mapenzi inavyopungua.

Ukweli ni kwamba nikilala na mwanamke ambaye ni natural yaani mwenye nywele za kawaida anayesuka mtindo wa 'twende kilioni' au amezibana tu, wowowo, chuchu na sauti
natural huwa napata nguvu nyingi za kupanda mlima ikilinganishwa na ninapolala na mwanamke mwenye kucha za bandia, nywele za bandia, na midomo iliyopakwa rangi nyingi.

Chapisha Maoni

 
Top