0
Cristiano Ronaldo akiwa
hewani kupigwa kichwa
kuipatia bao la kuongoza
Real Madrid dakika ya 27
katika ushindi wa 2-1 dhidi
ya Valencia usiku wa jana
Uwanja wa Santiago
Bernabeu mjini Madrid
kwenye mchezo wa La Liga.
Ronaldo pia alikosa penalti
dakika ya 56, ambayo
iliokolewa na kipa Diego
Alves aliyefanya hivyo kwa
mara ya 26 katika mikwaju
53 ya matuta aliyowahi
kupigiwa. Valencia
walitangulia kwa bao la Dani
Parejo dakika ya 82, kabla
ya Marcelo kuisawazishia
Real Madrid dakika ya
86 

Chapisha Maoni

 
Top