0

Bayern Munich imeitwanga Wolfsburg kwa mabao 6-0 na kufanikiwa kubeba ubingwa wa Bundesliga kwa mara ya tano mfululizo.
Ushindi huo, unaifanya Bayern kuandika historia ya ubabe katika Bundeliga na hasa kuibeba mara tano mfululizo.
Mshambuliaji Roberto Lewandowski yeye alifunga mabao mawili katika mechi hiyo. Siku chache zilizopita, Bayern ilifungwa na wapinzani wao wakubwa Borussia Dortmund ambao wamesonga hadi katika
fainali ya Kombe la Ujerumani.



Chapisha Maoni

 
Top