kulia) akiwania mpira dhidi
ya nyota kinda, Nathaniel
Chalobah wakati wa mazoezi
ya Chelsea kujiandaa na
mechi ya mwisho ya Ligi
Kuu ya England dhidi ya
Sunderland Jumapili. Terry
mwenye umri wa miaka 36
sasa, anatarajiwa kuaga
Chelsea siku hiyo baada ya
kucheza mechi 716 tangu
1995 alipowasili akiwa kijana
mdogo kabisa

Chapisha Maoni