ameendelea kumuaamini Mlinda
mlango chaguo la Pili katika kikosi
Cha Yanga Beno Kakolanya na
kumuanzisha katika mchezo wa
mwisho wa ligi Kuu dhidi ya Mbao FC.
Yanga wanashuka katika uwanja wa
CCM Kirumba Jijini Mwanza wakiwa
na Matumaini makubwa ya kutwaa
ubingwa Kwani Tofauti ya Mabao
waliyonayo dhidi ya Simba inawapa
nafasi kubwa zaidi ya Kutwaa
ubingwa.
Aidha katika kikosi alichokitangaza
Lwandamina Kiungo Mshambuliaji
Simon Msuva amerejea kikosini baada
ya kukosa mchezo dhidi ya Toto
Africans jumanne iliyopita kutokana na
kuumia Kichwa katika mchezo dhidi
ya Mbeya City.
Kikosi Kamili.
1. Beno Kakolanya
2. Juma Abdul
3. Oscar Joshua
4. Nadir Haroub
5. Vincent Bossou
6. Thabani Kamusoko
7. Saimoni Msuva
8. Justine Zulu
9. Obrey Chirwa
10. Haruna Niyonzima
11. Geofrey Mwashuiya
Wachezaji wa Akiba ni pamoja na
Deogratius Munishi, Hassani Kessy,
Pato Ngonyani, Mateo Antony , Deusi
Kaseke na Emanuel Martin.

Chapisha Maoni