Huenda nyimbo anazoskiliza zaidi TID kwa sasa ni pamoja na ‘Loyal’ ya Chris Brown na ‘Sitaki Demu’ ya Juma Nature.
TID amedai kusalitiwa na mpenzi wake na hajaona aibu kuliweka hilo wazi.
TID ameumwaga mchele huo kwenye akaunti yake
ya Facebook: The last time I trusted a broke asss bit*ch………..she cheated on me.”
Chapisha Maoni