0
Habari ya kazi Voiet. Mimi ni kijana wa kiume, i
have 18yrs, hadi sasa naishi Zanzibar katika
wilaya ya Mjini. Nilikua nikitembelea kwa siku
nyingi katika blogi zako zinazohusiana na suala
zima la MAPENZI, katika utafiti wangu juu ya
suala hilo, nimefaidika na mambo mengi sana
yanayohusu MAPENZI, kwa mfano, jinsi ya
kumpata mwanamke akupendae, pia vipi utaweza
kuishi kuishi nae, na vipi munaweza kuboresha
na kudumisha mapenzi yenu na mengineyo.
Nashkuru sana nimefaidika kwa kiasi kikubwa
sana kupitia BLOG zakoAnt Voilet.
Ila lakini, pamoja na yote hayo,
niliyoyapata kupitia BLOG zako bado mimi nina
tatizo moja tu ambalo linanikwaza katika MAPENZI
yote kwa ujumla, kwa kutumia TAALUMA ambayo
nimeipata kupitia BLOG zako, nahisi nikitu
MUHIMU sana katika MAPENZI pia inaweza
ikapelekea kuachana na MPENZI wangu na ni kitu
ambacho mimi sijakipanga maishani mwangu
kumsaliti yeye kwani NAMPENDA.
Tatizo langu Ant Voilet ni kwamba mimi
hadi sasa bado sijajua jinsi gani ya
KUMBEMBELEZA MPENZI wangu, kwani yeye kila
siku ananmbia NIMBEMBELEZE wakati wa usku
asa na mimi sijui kwa sababu mimi nilitaka
kuyajua MAPENZI kabla ya kumpata MPENZI,aidha
naliyasoma kwanza yakoje halafu ndo
nikaingia,bali yeye anambia nimwambie MANENO
MAZURI YA MAPENZI YENYE KUMLIWAZA WAKATI
WA USIKU ANAPOTAKA KULALA, husema yeye
hapati usingizi na mimi pia nimeshachoka
kumdanganya, kwaiyo nakuomba Ant Voilet kwa
ROHO YA UNYONGE na nainamisha kichwa
changu chini na napinda magoti yangu chini na
nainua mikono yangu juu kupokea MSAADA wako
kwani nakuomba unisadie juu ya hilo kwani
NAMPENDA ZAIDI YA ANAVYOFIKRIA na sitaki
nimpoteze. Pia nimeshamuahidi Mungu ikiwa
hatochukua roho ztu nitakuja kufunga nae NDOA.

Ni
matumaini yangu yakua ombi limefanikiwa na
litajibiwa.

Chapisha Maoni

 
Top