jambo moja linalonitatiza ni huu:-Mpenzi wangu
anaongea na mama yake saana.kwa nini
ninaudhika?
kwa sababu anamwambia mambo yote ya kisiri
ambayo bwana na bibi inafaa waongee.
kwa mfano...last time tulivyogombana ilikuwa
hivi:-nilimuuliza :kwa nini ulienda town
jana,ukaniambia unaenda kununua frem ya
spectacles
na leo ukaniambia unaenda kuona customers
town pia?akanijibu mimi nilienda kuona
customers leo.jana nilienda kuleta frems
nikamuuliza si ungeenda siku moja kuleta frem
na kuona customers?
alivyofika nyumbani tukagombana...
baadaye akampigia mamake, akamwambia
"ananiambia nilikuwa nimeenda kupeana
"tiondo"(tiondo kikwetu inamaanisha "sex)
nilishangaa sana nikajiuliza, kwani mpenzi yangu
anaongea maneno haya chafu na
mammake ,, kila kitu anasema, kwanini?
hebu nishauri vile nitakavyoendelea...
Chapisha Maoni