ameibuka kuwa mwanasoka bora kijana wa Ligi Kuu England. Alli mwenye miaka 21, ameshinda tuzo hiyo
dhidi ya nyota wengine kama Harry Kane
(Tottenham), Romelu Lukaku (Everton),
Michael Keane (Burnley), Jordan Pickford (Sunderland) na Leroy Sane wa Man City.
Kinda huyo amekuwa tegemeo katika safy ya ushambulizi ya Spurs ambayo
inaonekana kuwa mpinzani mkubwa wa
Chelsea kuwania ubingwa wa Ligi Kuu
England.
Chapisha Maoni