hayo baada ya baadhi ya watu wanao m-follow mitandaoni kuanza kumtukana na kukosoa kila kitu anachokiweka eti kwasababu tu hawampendi.
Baada ya mamba haya kuendelea kwa mda kidogo, hasa baada ya yeye kuachana na aliekuwa mpenzi wake, Diamond Platnumz,
hatimaye Wema aliwatolea uvivu na kuaonge meneno makali kuwa wote wasio mpenda wa ache kum-follow kwani hakuna wakumwambia nini
akiweke au asikiweke mtandaoni na hayo ni maisha yake hakuna wakumpangia. Wema alisema;
"My Life... My Rules... You dont like it
Unfollow me.... Jus a quick reminder....
Jamani this be my own account.... My
personal account... So nitamtag yoyote
ninayetaka kumtag.... na bado siku ntatag
watu mtashangaa maana sasa naona
tunaingiliana mpaka kwenye kupost....
Akha...!!!! Hivi lini mmeskia nafatilia mtu
kwenye post zake... Tusiingiliane jamani
tafadhal... nat kwenye simu yangu.... I post
watever I want, wenever I want, however I want.... u gat a prob...? Deal wit it.... Talk abt entertaining people sijui wanaotukana... I can entertain anybody I want....!!!!
Period.....!!!! Afu pia tusifundishane namna ya kuishi aswell.... Like I said my life, my rules...."
Hatua ya Wema kutoa kauli hii ilizua mdaja marefu sana, wapo walio muunga mko Wema kwasababu ni kweli kunawatu wamezidi kufanya
vitendo ambayo sio vya kistaarabu hata kama mtu haumpendi sio lazima um-follow naanze kutema mbaya, ila wapo waliosema azi-BLOCK baadhi ya akaunti za watu ambao wanafahamika
kuawa ndio wanao chafua hali ya hewa nakuzitaja kabisa kwa majina.
Ila wapo walio mpa moyo
kwamba ustaa ni nzigo la mwiba kwa hiyo yeye awaache tu na mashabiki kwa mashabiki wata malizana wenyewe kwa wenyewe yani wale wanaomopenda wa wasiompenda awaacha
wavutane.
Hili swala la watu kuchafua page za watu huko mitandaoni kwa lugha chafu sio kitendo kizturi hata kama mtu haumpendi sisi kama bongomovies.com kwa nguvu zote tunakemea vitendo kama hivi. KAZA MOYO WEMA.
Chapisha Maoni