Shirikisho Tanzania Bara Maarufu
Kama Azam Sports federation cup
inatarajiwa kufanyika Mubashara
kwenye luninga Jumapili hii ya April
23.
Akizungumzia kuhusu Droo hiyo
Meneja wa Idara ya Michezo wa Azam
TV Baruhani Muuza Amesema
wanafanya hivyo ili Kila mtu
ashuhudie nani atapangwa na Nani
katika nusu Fainali hiyo na kupunguza
Malalamiko ya upangaji wa
kupendelea.
Aidha Baruhani Alisema Kila timu
ambayo imefanikiwa Kufuzu katika
nusu fainali itatoa wawakilishi wawili
ambao watashuhudia zoezi hilo Moja
kwa moja.
-Mpaka sasa tuna timu Tano ambazo
Tatu tayari zimefuzu hatua ya nusu
fainali na moja Bado, nitumie nafasi
Hii kuwaalika Viongozi wawili kutoka
katika Kila timu kuja hiyo Jumapili"
Baruhani Alisema.
-Bado hatujapata Timu moja Ambapo
mechi ya Kutafuta timu ya Mwisho ya
kutinga hatua ya nusu fainali
inapingwa Jumamosi kati ya Yanga na
Tanzania Prisons sasa nimfahamishe
tu Mshindi katika mchezo huo ateue
wawakilishi wawili kuja kwenye droo
hiyo Hiyo siku ya Jumapili"
Aliongeza.
Bingwa.
Timu ambazo tayari zimefuzu hatua
ya Robo fainali ni pamoja na Mbao FC
ya Mwanza, Simba SC na Azam FC
zote za Jijini Dar es Salaam, na
ikumbukwe Bingwa wa michuano hiyo
ataliwakilisha Taifa katika michuano ya
Kombe la Shirikisho Barani Afrika
Mwakani.
Chapisha Maoni