0

Timu ya Taifa ya Soka ya Tanzania
'Taifa Stars' imepata udhamini mpya
wa Kampuni ya Bia ya Serengeti
Breweries Limited wa miaka 3.
Udhamini huo una thamani ya Sh
2.1billion, mkataba uliosainiwa na
Rais wa Shirikisho la Soka nchini
'TFF' Jamali Malinzi Leo.
Kijiti kutoka TBL.
Serengeti inachukua kijiti kutoka kwa Tanzania Breweries (TBL) iliyomaliza mkataba wake na TFF mwishoni mwa mwaka jana.


Chapisha Maoni

 
Top